Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 77 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَإِنَّهُمۡ عَدُوّٞ لِّيٓ إِلَّا رَبَّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الشعراء: 77]
﴿فإنهم عدو لي إلا رب العالمين﴾ [الشعراء: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani hao mnaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni maadui zangu. Lakini Mola wa viumbe wote na Mmiliki wa mambo yao, Yeye Peke Yake Ndiye ninayemuabudu |