Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 25 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿أَلَّاۤ يَسۡجُدُواْۤ لِلَّهِ ٱلَّذِي يُخۡرِجُ ٱلۡخَبۡءَ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَيَعۡلَمُ مَا تُخۡفُونَ وَمَا تُعۡلِنُونَ ﴾
[النَّمل: 25]
﴿ألا يسجدوا لله الذي يخرج الخبء في السموات والأرض ويعلم ما تخفون﴾ [النَّمل: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Shetani amewapambia hilo, ili wasimsujudie Mwenyezi Mungu Ambaye Anakitoa kilichofichwa na kufinikwa mbinguni na ardhini miongoni mwa mvua, mimea na visivyokuwa hivyo, na Anayajua mnayoyafanya kwa siri na mnayoyafanya kwa dhahiri |