Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 57 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿فَأَنجَيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥٓ إِلَّا ٱمۡرَأَتَهُۥ قَدَّرۡنَٰهَا مِنَ ٱلۡغَٰبِرِينَ ﴾
[النَّمل: 57]
﴿فأنجيناه وأهله إلا امرأته قدرناها من الغابرين﴾ [النَّمل: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamuokoa Lūṭ na watu wake waliomfuata na adhabu ambayo itawashukia watu wa Lūṭ waliomkanusha, isipokuwa mkewe tuliomkadria kuwa ni mwenye kusalia kwenye adhabu mpaka aangamie pamoja na wenye kuangamia, kwa kuwa yeye alikuwa ni msaidizi wa watu wake kwa matendo yao mabaya na alikua akiridhika nayo |