Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 65 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿قُل لَّا يَعۡلَمُ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ ٱلۡغَيۡبَ إِلَّا ٱللَّهُۚ وَمَا يَشۡعُرُونَ أَيَّانَ يُبۡعَثُونَ ﴾
[النَّمل: 65]
﴿قل لا يعلم من في السموات والأرض الغيب إلا الله وما يشعرون﴾ [النَّمل: 65]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, kuwaambia wao, «Hakuna yoyote ajuwaye, mbinguni wala ardhini, jambo lolote lililofichika ambalo Mwenyezi Mungu Amejihusisha Mwenyewe kulijua. Na wao hawajui ni lini watafufuliwa kutoka makaburini mwao wakati wa Kiyama kusimama.» |