Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 66 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿بَلِ ٱدَّٰرَكَ عِلۡمُهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِۚ بَلۡ هُمۡ فِي شَكّٖ مِّنۡهَاۖ بَلۡ هُم مِّنۡهَا عَمُونَ ﴾
[النَّمل: 66]
﴿بل ادارك علمهم في الآخرة بل هم في شك منها بل هم﴾ [النَّمل: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali ujuzi wao wa Kiyama utakamilika huko Akhera, huko watakuwa na yakini juu ya Nyumba ya Akhera na vituko vilivyomo watakapoishuhudia. Na wao walipokuwa duniani walikuwa na shaka nayo, bali akili zao zilikuwa zimepofuka hawaiyoni |