×

Na pale Lut'i alipo waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao 29:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-‘Ankabut ⮕ (29:28) ayat 28 in Swahili

29:28 Surah Al-‘Ankabut ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 28 - العَنكبُوت - Page - Juz 20

﴿وَلُوطًا إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ إِنَّكُمۡ لَتَأۡتُونَ ٱلۡفَٰحِشَةَ مَا سَبَقَكُم بِهَا مِنۡ أَحَدٖ مِّنَ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 28]

Na pale Lut'i alipo waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana mmoja katika walimwengu aliye kutangulieni kwa hayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولوطا إذ قال لقومه إنكم لتأتون الفاحشة ما سبقكم بها من أحد, باللغة السواحيلية

﴿ولوطا إذ قال لقومه إنكم لتأتون الفاحشة ما سبقكم بها من أحد﴾ [العَنكبُوت: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mkumbuke na umtaje Lūṭ, ewe Mtume, alipowaambia watu wake, «Kwa hakika, nyinyi mnaleta kitendo kichafu, hakuna yoyote katika viumbe aliyetangulia kukifanya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek