Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 62 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿ٱللَّهُ يَبۡسُطُ ٱلرِّزۡقَ لِمَن يَشَآءُ مِنۡ عِبَادِهِۦ وَيَقۡدِرُ لَهُۥٓۚ إِنَّ ٱللَّهَ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٞ ﴾
[العَنكبُوت: 62]
﴿الله يبسط الرزق لمن يشاء من عباده ويقدر له إن الله بكل﴾ [العَنكبُوت: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, aliyetakasika na kuwa juu, Anampanulia riziki Anayemtaka na Anawabania wengine katika wao, kwa kuwa Anayajua yanayowafaa waja Wake. Hakika Mwenyezi Mungu kwa kila jambo, katika hali zenu na mambo yenu, ni Mjuzi, hakuna chochote kinachofichamana Kwake |