×

Wote hao si sawa sawa. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wamo watu 3:113 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:113) ayat 113 in Swahili

3:113 Surah al-‘Imran ayat 113 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 113 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿۞ لَيۡسُواْ سَوَآءٗۗ مِّنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ أُمَّةٞ قَآئِمَةٞ يَتۡلُونَ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ ءَانَآءَ ٱلَّيۡلِ وَهُمۡ يَسۡجُدُونَ ﴾
[آل عِمران: 113]

Wote hao si sawa sawa. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wamo watu walio simama baraabara, wanasoma Aya za Mwenyezi Mungu nyakati za usiku, na pia wanasujudu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ليسوا سواء من أهل الكتاب أمة قائمة يتلون آيات الله آناء الليل, باللغة السواحيلية

﴿ليسوا سواء من أهل الكتاب أمة قائمة يتلون آيات الله آناء الليل﴾ [آل عِمران: 113]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Waliopewa Vitabu hawako sawa: kati yao liko kundi lifuatalo njia iliyolingana sawa juu ya amri ya Mwenyezi Mungu, lenye kumuamini Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na ambalo watu wake wanasimama usiku wakizisoma aya za Qur’ani tukufu na wakielekea kwa Mwenyezi Mungu kwa kumuomba katika Swala zao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek