×

Na pale ulipo toka asubuhi, ukaacha ahali zako uwapange Waumini kwenye vituo 3:121 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:121) ayat 121 in Swahili

3:121 Surah al-‘Imran ayat 121 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 121 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿وَإِذۡ غَدَوۡتَ مِنۡ أَهۡلِكَ تُبَوِّئُ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ مَقَٰعِدَ لِلۡقِتَالِۗ وَٱللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ ﴾
[آل عِمران: 121]

Na pale ulipo toka asubuhi, ukaacha ahali zako uwapange Waumini kwenye vituo kwa ajili ya vita - na Mwenyezi Mungu anasikia na anajua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذ غدوت من أهلك تبوئ المؤمنين مقاعد للقتال والله سميع عليم, باللغة السواحيلية

﴿وإذ غدوت من أهلك تبوئ المؤمنين مقاعد للقتال والله سميع عليم﴾ [آل عِمران: 121]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kumbuka,ewe Mtume, pindi ulipotoka nyumbani kwako, ukiwa umevaa mavazi ya vita, huku wazipanga safu za Masahaba wako, na unamuweka kila mmoja mahali pake ili kukutana na washirikina katika vita vya Uhud. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuzisikia kauli zenu, ni Mwenye kuvijua vitendo vyenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek