×

Na ni vya Mwenyezi Mungu vyote vilivyomo katika mbingu na vilivyomo katika 3:129 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:129) ayat 129 in Swahili

3:129 Surah al-‘Imran ayat 129 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 129 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿وَلِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۚ يَغۡفِرُ لِمَن يَشَآءُ وَيُعَذِّبُ مَن يَشَآءُۚ وَٱللَّهُ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[آل عِمران: 129]

Na ni vya Mwenyezi Mungu vyote vilivyomo katika mbingu na vilivyomo katika ardhi. Yeye humsamehe na humuadhibu amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Msamehevu Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولله ما في السموات وما في الأرض يغفر لمن يشاء ويعذب من, باللغة السواحيلية

﴿ولله ما في السموات وما في الأرض يغفر لمن يشاء ويعذب من﴾ [آل عِمران: 129]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni vya Mwenyezi Mungu Pekee vilioko mbinguni na vilioko ardhini; Anamsamehe Amtakaye kati ya waja Wake kwa rehema Zake na Anamuadhibu Amtakaye kwa uadilifu Wake. Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasamehe madhambi ya waja Wake na ni Mwenye huruma kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek