Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 138 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿هَٰذَا بَيَانٞ لِّلنَّاسِ وَهُدٗى وَمَوۡعِظَةٞ لِّلۡمُتَّقِينَ ﴾
[آل عِمران: 138]
﴿هذا بيان للناس وهدى وموعظة للمتقين﴾ [آل عِمران: 138]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii Qur’ani ni ufafanuzi uliyo wazi na ni uongozi kwenye njia ya haki na ni ukumbusho ambao nyoyo za wachamungu zainyenyekea. Nao (hao wachamungu) ni wale wanaomuogopa Mwenyezi Mungu. Wamehusishwa nayo (hiyo Qur’ani kuwa nyoyo zao zinainyenyekea na kuikubali) kwa kuwa wao ndio wanaofaidika nayo, si wengine |