Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 182 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿ذَٰلِكَ بِمَا قَدَّمَتۡ أَيۡدِيكُمۡ وَأَنَّ ٱللَّهَ لَيۡسَ بِظَلَّامٖ لِّلۡعَبِيدِ ﴾
[آل عِمران: 182]
﴿ذلك بما قدمت أيديكم وأن الله ليس بظلام للعبيد﴾ [آل عِمران: 182]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Adhabu hiyo kali ni kwa sababu ya yale mliyoyatanguliza katika maisha yenu ya duniani kati ya maasia ya kimaneno, ya kivitendo na ya kiitikadi, na kwamba Mwenyezi Mungu si Mwenye kuwadhulumu waja Wake |