×

Na wakikukanusha basi walikanushwa Mitume wengine kabla yako walio kuja na hoja 3:184 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:184) ayat 184 in Swahili

3:184 Surah al-‘Imran ayat 184 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 184 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿فَإِن كَذَّبُوكَ فَقَدۡ كُذِّبَ رُسُلٞ مِّن قَبۡلِكَ جَآءُو بِٱلۡبَيِّنَٰتِ وَٱلزُّبُرِ وَٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُنِيرِ ﴾
[آل عِمران: 184]

Na wakikukanusha basi walikanushwa Mitume wengine kabla yako walio kuja na hoja waziwazi na Vitabu vyenye hikima, na Kitabu chenye nuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإن كذبوك فقد كذب رسل من قبلك جاءوا بالبينات والزبر والكتاب المنير, باللغة السواحيلية

﴿فإن كذبوك فقد كذب رسل من قبلك جاءوا بالبينات والزبر والكتاب المنير﴾ [آل عِمران: 184]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi ikiwa Mayahudi hawa na makafiri wengineo watakukanusha, ewe Mtume, hakika wabatilifu wamewakanusha Mitume wengi kabla yako waliowajia kaumu zao kwa miujiza mingi yenye kushinda, hoja zilizo wazi, vitabu vya mbinguni ambavyo ni nuru inayoondosha giza na Kitabu chenye ufafanuzi, kilicho wazi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek