Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 22 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ حَبِطَتۡ أَعۡمَٰلُهُمۡ فِي ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِ وَمَا لَهُم مِّن نَّٰصِرِينَ ﴾
[آل عِمران: 22]
﴿أولئك الذين حبطت أعمالهم في الدنيا والآخرة وما لهم من ناصرين﴾ [آل عِمران: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao ndio ambao amali zao zilitanguka ulimwenguni na Akhera. Hakuna amali yao yoyote itakubaliwa, na hawatakuwa na yoyote mwenye kuwanusuru kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu |