Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 5 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَخۡفَىٰ عَلَيۡهِ شَيۡءٞ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا فِي ٱلسَّمَآءِ ﴾
[آل عِمران: 5]
﴿إن الله لا يخفى عليه شيء في الأرض ولا في السماء﴾ [آل عِمران: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mwenyezi Mungu, ujuzi Wake umewazunguka viumbe wote. Hakuna kitu chenye kufichika Kwake katika ardhi wala katika mbingu, kiwe kichache au kingi |