Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 51 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿إِنَّ ٱللَّهَ رَبِّي وَرَبُّكُمۡ فَٱعۡبُدُوهُۚ هَٰذَا صِرَٰطٞ مُّسۡتَقِيمٞ ﴾
[آل عِمران: 51]
﴿إن الله ربي وربكم فاعبدوه هذا صراط مستقيم﴾ [آل عِمران: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Hakika Mwenyezi Mungu Ambaye ninawalingania nyinyi Kwake Ndiye Peke Yake Mola wangu na Mola wenu, basi muabuduni Yeye. Mimi na nyinyi tuko sawa katika uja wetu na unyenyekevu wetu Kwake. Na hii ndio njia ambayo haina mpeteko.» |