Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 53 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿رَبَّنَآ ءَامَنَّا بِمَآ أَنزَلۡتَ وَٱتَّبَعۡنَا ٱلرَّسُولَ فَٱكۡتُبۡنَا مَعَ ٱلشَّٰهِدِينَ ﴾
[آل عِمران: 53]
﴿ربنا آمنا بما أنـزلت واتبعنا الرسول فاكتبنا مع الشاهدين﴾ [آل عِمران: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe Mola wetu! Tumeiamini Injili uliyoiteremsha na tumemfuata Mtume Wako 'Īsā, amani imshukie, basi tujaalie ni miongoni mwa waliokutolea ushahidi juu ya umoja Wako na kuwatolea ushahidi Manabii juu ya utume wao.» Nao ni ummah wa Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ambao wanawatolea ushahidi mitume kuwa wao wamewafikishia ummah wao |