Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 63 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ ﴾
[آل عِمران: 63]
﴿فإن تولوا فإن الله عليم بالمفسدين﴾ [آل عِمران: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakikataa kukuamini na kukufuata, basi wao ndio waharibifu. Na Mwenyezi Mungu Anawajua na Atawalipa kwa hilo |