×

Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale 3:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:66) ayat 66 in Swahili

3:66 Surah al-‘Imran ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 66 - آل عِمران - Page - Juz 3

﴿هَٰٓأَنتُمۡ هَٰٓؤُلَآءِ حَٰجَجۡتُمۡ فِيمَا لَكُم بِهِۦ عِلۡمٞ فَلِمَ تُحَآجُّونَ فِيمَا لَيۡسَ لَكُم بِهِۦ عِلۡمٞۚ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ ﴾
[آل عِمران: 66]

Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ها أنتم هؤلاء حاججتم فيما لكم به علم فلم تحاجون فيما ليس, باللغة السواحيلية

﴿ها أنتم هؤلاء حاججتم فيما لكم به علم فلم تحاجون فيما ليس﴾ [آل عِمران: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ndio nyinyi enyi hawa, mliomjadili Mtume wa Mwenyezi Mungu , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, juu ya mambo ya dini yenu ambayo muna ujuzi nayo, katika yale yaliyomo ndani ya vitabu vyenu mnayoitakidi usahihi wake. Lakini ni kwa nini nyinyi mnayajadili mambo ya Ibrāhīm ambayo hamuna ujuzi nayo? Na Mwenyezi Mungu Anayajua mambo pamoja na kuwa yamefichika, na nyinyi hamjui
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek