Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 69 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿وَدَّت طَّآئِفَةٞ مِّنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ لَوۡ يُضِلُّونَكُمۡ وَمَا يُضِلُّونَ إِلَّآ أَنفُسَهُمۡ وَمَا يَشۡعُرُونَ ﴾
[آل عِمران: 69]
﴿ودت طائفة من أهل الكتاب لو يضلونكم وما يضلون إلا أنفسهم وما﴾ [آل عِمران: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lilitamani kundi la Mayahudi na Manaswara lau wangaliwapoteza nyinyi, enyi Waislamu, wakawatoa kwenye Uislamu. Wao hawampotezi yoyote isipokuwa nafsi zao na wafuasi wao; na wao hawalielewi hilo wala hawalijui |