×

Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini yale waliyo teremshiwa wenye 3:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:72) ayat 72 in Swahili

3:72 Surah al-‘Imran ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 72 - آل عِمران - Page - Juz 3

﴿وَقَالَت طَّآئِفَةٞ مِّنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ ءَامِنُواْ بِٱلَّذِيٓ أُنزِلَ عَلَى ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَجۡهَ ٱلنَّهَارِ وَٱكۡفُرُوٓاْ ءَاخِرَهُۥ لَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ﴾
[آل عِمران: 72]

Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini yale waliyo teremshiwa wenye kuamini mwanzo wa mchana, na yakataeni mwisho wake; huenda wakarejea

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقالت طائفة من أهل الكتاب آمنوا بالذي أنـزل على الذين آمنوا وجه, باللغة السواحيلية

﴿وقالت طائفة من أهل الكتاب آمنوا بالذي أنـزل على الذين آمنوا وجه﴾ [آل عِمران: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na pote la watu wa Kitabu miongoni mwa Mayahudi lilisema, «Sadikini kilichoteremshwa kwa walioamini mwanzo wa mchana na mkanushe mwisho wake. Huenda wao wakafanya shaka juu ya dini yao na wakaiacha
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek