Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 92 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿لَن تَنَالُواْ ٱلۡبِرَّ حَتَّىٰ تُنفِقُواْ مِمَّا تُحِبُّونَۚ وَمَا تُنفِقُواْ مِن شَيۡءٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ بِهِۦ عَلِيمٞ ﴾
[آل عِمران: 92]
﴿لن تنالوا البر حتى تنفقوا مما تحبون وما تنفقوا من شيء فإن﴾ [آل عِمران: 92]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hamuwezi kupata Pepo ng’o! mpaka mtoe sadaka katika vile vitu mnavyovipenda. Na chochote mnachokitoa sadaka, kiwe ni kichache au ni kingi, basi Mwenyezi Mungu Anakijua mno na Atamlipa kila mtoaji malipo yanayolingana na kitendo chake |