Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 13 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿وَإِذۡ قَالَ لُقۡمَٰنُ لِٱبۡنِهِۦ وَهُوَ يَعِظُهُۥ يَٰبُنَيَّ لَا تُشۡرِكۡ بِٱللَّهِۖ إِنَّ ٱلشِّرۡكَ لَظُلۡمٌ عَظِيمٞ ﴾
[لُقمَان: 13]
﴿وإذ قال لقمان لابنه وهو يعظه يابني لا تشرك بالله إن الشرك﴾ [لُقمَان: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kumbuka na utaje, ewe Mtume, ushauri wa Luqman kwa mwanawe alipomuambia kwa kumwaidhia, «Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu ukajidhulumu nafsi yako, hakika ushirikina ni dhambi kubwa na ovu kabisa la madhambi makubwa.» |