Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 18 - السَّجدة - Page - Juz 21
﴿أَفَمَن كَانَ مُؤۡمِنٗا كَمَن كَانَ فَاسِقٗاۚ لَّا يَسۡتَوُۥنَ ﴾
[السَّجدة: 18]
﴿أفمن كان مؤمنا كمن كان فاسقا لا يستوون﴾ [السَّجدة: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, Yule Aliyekuwa mtiifu kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, mwenye kuamini agizo lake la kuwalipa mema wema wenye kufanya mema na kuwalipa ubaya wenye kufanya mabaya, ni kama yule aliyemkanusha Mwenyezi Mungu na Mitume Yake na akaikanusha Siku ya Kiyama? Hawalingani mbele ya Mwenyezi Mungu |