Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 17 - السَّجدة - Page - Juz 21
﴿فَلَا تَعۡلَمُ نَفۡسٞ مَّآ أُخۡفِيَ لَهُم مِّن قُرَّةِ أَعۡيُنٖ جَزَآءَۢ بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[السَّجدة: 17]
﴿فلا تعلم نفس ما أخفي لهم من قرة أعين جزاء بما كانوا﴾ [السَّجدة: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakuna nafsi yoyote inayoyajua yale aliyowawekea Mwenyezi Mungu hawa Waumini ya kutuliza macho na kufurahisha moyo, yakiwa ni malipo yao kwa matendo yao mema |