Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 22 - السَّجدة - Page - Juz 21
﴿وَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّن ذُكِّرَ بِـَٔايَٰتِ رَبِّهِۦ ثُمَّ أَعۡرَضَ عَنۡهَآۚ إِنَّا مِنَ ٱلۡمُجۡرِمِينَ مُنتَقِمُونَ ﴾
[السَّجدة: 22]
﴿ومن أظلم ممن ذكر بآيات ربه ثم أعرض عنها إنا من المجرمين﴾ [السَّجدة: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakuna hata mmoja aliye dhalimu zaidi wa nafsi yake kuliko yule aliyekumbushwa dalili za Mwenyezi Mungu kisha akazipa mgongo zote, asiwaidhike kwa mawaidha yake, bali akayafanyia kiburi. Hakika sisi ni wenye kuwatesa wale wahalifu waliozipa mgongo aya za Mwenyezi Mungu na hoja Zake na wasinufaike nazo |