Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 3 - الأحزَاب - Page - Juz 21
﴿وَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَكِيلٗا ﴾
[الأحزَاب: 3]
﴿وتوكل على الله وكفى بالله وكيلا﴾ [الأحزَاب: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na umtegemee Mola wako, na umuachie Yeye mambo yako, na Yeye Anatosha kuwa Mtunzi kwa anayemtegemea na kurudia Kwake |