×

Siku ambayo nyuso zao zitapinduliwa pinduliwa katika Moto. Watasema: Laiti tungeli mt'ii 33:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:66) ayat 66 in Swahili

33:66 Surah Al-Ahzab ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 66 - الأحزَاب - Page - Juz 22

﴿يَوۡمَ تُقَلَّبُ وُجُوهُهُمۡ فِي ٱلنَّارِ يَقُولُونَ يَٰلَيۡتَنَآ أَطَعۡنَا ٱللَّهَ وَأَطَعۡنَا ٱلرَّسُولَا۠ ﴾
[الأحزَاب: 66]

Siku ambayo nyuso zao zitapinduliwa pinduliwa katika Moto. Watasema: Laiti tungeli mt'ii Mwenyezi Mungu, na tungeli mt'ii Mtume

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يوم تقلب وجوههم في النار يقولون ياليتنا أطعنا الله وأطعنا الرسولا, باللغة السواحيلية

﴿يوم تقلب وجوههم في النار يقولون ياليتنا أطعنا الله وأطعنا الرسولا﴾ [الأحزَاب: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Siku zitakapogeuzwa nyuso za makafiri Motoni, huku wakisema kwa kujuta na kuduwaa, «Tunatamani lau tungalimtii Mwenyezi Mungu na tungalimtii Mtume Wake duniani tukawa watu wa Peponi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek