Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 17 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿ذَٰلِكَ جَزَيۡنَٰهُم بِمَا كَفَرُواْۖ وَهَلۡ نُجَٰزِيٓ إِلَّا ٱلۡكَفُورَ ﴾
[سَبإ: 17]
﴿ذلك جزيناهم بما كفروا وهل نجازي إلا الكفور﴾ [سَبإ: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mabadiliko hayo, kutoka kwenye mambo mazuri kwenda kwenye mabaya, ni kwa sababu ya kukanusha kwao na kutoshukuru kwao neema za Mwenyezi Mungu. Na hatumtesi mateso haya makali isipokuwa mkanushaji sana aliyeendelea kwenye ukanushaji; atalipwa kulingana na matendo yake, sawa kwa sawa |