×

Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu 35:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah FaTir ⮕ (35:15) ayat 15 in Swahili

35:15 Surah FaTir ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 15 - فَاطِر - Page - Juz 22

﴿۞ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ أَنتُمُ ٱلۡفُقَرَآءُ إِلَى ٱللَّهِۖ وَٱللَّهُ هُوَ ٱلۡغَنِيُّ ٱلۡحَمِيدُ ﴾
[فَاطِر: 15]

Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأيها الناس أنتم الفقراء إلى الله والله هو الغني الحميد, باللغة السواحيلية

﴿ياأيها الناس أنتم الفقراء إلى الله والله هو الغني الحميد﴾ [فَاطِر: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Enyi watu! Nyinyi ndio wahitaji wa Mwenyezi Mungu katika kila kitu, hamjitoshelezi Naye hata kiasi cha kupepesa jicho. Na Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Ndiye Mwenye kujitosheleza na watu na kila kitu miongoni mwa viumbe Vyake, Mwenye kushukuriwa kwa dhati Yake na majina Yake na sifa Zake, Anaeshukuriwa kwa neema Zake. Kwani kila neema waliyo nayo watu inatoka Kwake. Sifa njema zote ni Zake na shukrani kwa kila namna
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek