×

Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala 35:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah FaTir ⮕ (35:22) ayat 22 in Swahili

35:22 Surah FaTir ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 22 - فَاطِر - Page - Juz 22

﴿وَمَا يَسۡتَوِي ٱلۡأَحۡيَآءُ وَلَا ٱلۡأَمۡوَٰتُۚ إِنَّ ٱللَّهَ يُسۡمِعُ مَن يَشَآءُۖ وَمَآ أَنتَ بِمُسۡمِعٖ مَّن فِي ٱلۡقُبُورِ ﴾
[فَاطِر: 22]

Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio makaburini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما يستوي الأحياء ولا الأموات إن الله يسمع من يشاء وما أنت, باللغة السواحيلية

﴿وما يستوي الأحياء ولا الأموات إن الله يسمع من يشاء وما أنت﴾ [فَاطِر: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wale waliohuika nyoyo kwa kukuamini hawalingani na wale waliokufa nyoyo kwa kukanusha. Hakika Mwenyezi Mungu Anamsikilizisha Anayemtaka asikie kwa kufahamu na kukubali. Na wewe, ewe Mtume, si mwenye kuwasikilizisha walio ndani ya makaburi. Na kama usivyoweza kuwasikilizisha wafu makaburini mwao, pia hutawasikilizisha hawa makafiri kwa kuwa nyoyo zao zimekufa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek