Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 42 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَخَلَقۡنَا لَهُم مِّن مِّثۡلِهِۦ مَا يَرۡكَبُونَ ﴾
[يسٓ: 42]
﴿وخلقنا لهم من مثله ما يركبون﴾ [يسٓ: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawaumbia hawa washirikina na wasiokuwa wao kama vile jahazi la Nūḥ, miongoni mwa majahazi na vipando vingine wanavyovipanda vikawapeleka kwenye nchi zao |