Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 51 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَنُفِخَ فِي ٱلصُّورِ فَإِذَا هُم مِّنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ إِلَىٰ رَبِّهِمۡ يَنسِلُونَ ﴾
[يسٓ: 51]
﴿ونفخ في الصور فإذا هم من الأجداث إلى ربهم ينسلون﴾ [يسٓ: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kutavuviwa kwenye barugumu mvuvio wa pili, hapo roho zao zirudishwe kwenye miili yao, wakitahamaki wanatoka makaburini mwao wakielekea kwa Mola wao kwa haraka |