Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 50 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿فَلَا يَسۡتَطِيعُونَ تَوۡصِيَةٗ وَلَآ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمۡ يَرۡجِعُونَ ﴾
[يسٓ: 50]
﴿فلا يستطيعون توصية ولا إلى أهلهم يرجعون﴾ [يسٓ: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawataweza hawa washirikina wakati wa kuvuviwa barugumu kumuusia yoyote kitu chochote, wala hawataweza kurejea kwa watu wao, bali watakufa wakiwa kwenye masoko yao na pale walipo |