Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 55 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿إِنَّ أَصۡحَٰبَ ٱلۡجَنَّةِ ٱلۡيَوۡمَ فِي شُغُلٖ فَٰكِهُونَ ﴾
[يسٓ: 55]
﴿إن أصحاب الجنة اليوم في شغل فاكهون﴾ [يسٓ: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika watu wa Peponi Siku hiyo watakuwa wameshughulishwa kwa aina mbalimbali za neema za wao kustarehe nazo, hawawafikirii watu wengine |