Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 56 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿هُمۡ وَأَزۡوَٰجُهُمۡ فِي ظِلَٰلٍ عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ مُتَّكِـُٔونَ ﴾
[يسٓ: 56]
﴿هم وأزواجهم في ظلال على الأرائك متكئون﴾ [يسٓ: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wao na wake zao watakuwa wanajistarehesha juu ya vitanda vilivyopambwa , na chini ya vivuli vilivyoenea |