Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 60 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿۞ أَلَمۡ أَعۡهَدۡ إِلَيۡكُمۡ يَٰبَنِيٓ ءَادَمَ أَن لَّا تَعۡبُدُواْ ٱلشَّيۡطَٰنَۖ إِنَّهُۥ لَكُمۡ عَدُوّٞ مُّبِينٞ ﴾
[يسٓ: 60]
﴿ألم أعهد إليكم يابني آدم أن لا تعبدوا الشيطان إنه لكم عدو﴾ [يسٓ: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Atawaambia kwa kuwalaumu na kuwakumbusha, «Kwani sikuwausia, kupitia ndimi za Mitume wetu kwamba msiabudu Shetani wala msimtii? Hakika yeye ni adui ambaye uadui wake umejitokeza wazi |