Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 61 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَأَنِ ٱعۡبُدُونِيۚ هَٰذَا صِرَٰطٞ مُّسۡتَقِيمٞ ﴾
[يسٓ: 61]
﴿وأن اعبدوني هذا صراط مستقيم﴾ [يسٓ: 61]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na nikawaamrisha mniabudu mimi peke yangu, kwani kuniabudu mimi na kunitii na kumuasi Shetani ndiyo Dini iliyonyoka yenye kupelekea kupata radhi zangu na mabustani ya Pepo yangu |