Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 9 - صٓ - Page - Juz 23
﴿أَمۡ عِندَهُمۡ خَزَآئِنُ رَحۡمَةِ رَبِّكَ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡوَهَّابِ ﴾
[صٓ: 9]
﴿أم عندهم خزائن رحمة ربك العزيز الوهاب﴾ [صٓ: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au kwani wao wanamiliki mahazina ya fadhila za Mola wako, Aliye Mshindi katika ufalme Wake, Aliye Mpaji wa Anachokitaka miongoni mwa riziki Yake na fadhila Zake kwa Anayemtaka miongoni mwa viumbe Vyake |