Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 3 - صٓ - Page - Juz 23
﴿كَمۡ أَهۡلَكۡنَا مِن قَبۡلِهِم مِّن قَرۡنٖ فَنَادَواْ وَّلَاتَ حِينَ مَنَاصٖ ﴾
[صٓ: 3]
﴿كم أهلكنا من قبلهم من قرن فنادوا ولات حين مناص﴾ [صٓ: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kuna ummah wengi tuliowaangamiza kabla ya hawa washirikina, wakaomba waokolewe na wakaita kutaka toba, na wakati si wakati wa kukubaliwa toba wala wakati wa kukimbia na kuokolewa na yaliyowapata |