×

Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu 38:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah sad ⮕ (38:4) ayat 4 in Swahili

38:4 Surah sad ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 4 - صٓ - Page - Juz 23

﴿وَعَجِبُوٓاْ أَن جَآءَهُم مُّنذِرٞ مِّنۡهُمۡۖ وَقَالَ ٱلۡكَٰفِرُونَ هَٰذَا سَٰحِرٞ كَذَّابٌ ﴾
[صٓ: 4]

Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وعجبوا أن جاءهم منذر منهم وقال الكافرون هذا ساحر كذاب, باللغة السواحيلية

﴿وعجبوا أن جاءهم منذر منهم وقال الكافرون هذا ساحر كذاب﴾ [صٓ: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wameona ajabu washirikina hawa kuwa Mwenyezi Mungu Amewatumia binadamu miongoni mwao awalinganie kwa Mwenyezi Mungu na awaogopeshe adhabu Yake na wakasema, «Hakika yeye si Mtume bali yeye ni mrongo katika maneno yake, anawafanyia uchawi watu wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek