Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 33 - صٓ - Page - Juz 23
﴿رُدُّوهَا عَلَيَّۖ فَطَفِقَ مَسۡحَۢا بِٱلسُّوقِ وَٱلۡأَعۡنَاقِ ﴾
[صٓ: 33]
﴿ردوها علي فطفق مسحا بالسوق والأعناق﴾ [صٓ: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Warudisheni hao farasi walioorodheshwa hivi punde.» Wakarudishwa, na akaingia kuipiga miguu yao na shingo zao kwa upanga kwa kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao walikuwa ni sababu ya Swala yake kumpita, Na ilikuwa kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu kwa kuchinja farasi yakubaliwa katika Sheria yake |