Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 5 - صٓ - Page - Juz 23
﴿أَجَعَلَ ٱلۡأٓلِهَةَ إِلَٰهٗا وَٰحِدًاۖ إِنَّ هَٰذَا لَشَيۡءٌ عُجَابٞ ﴾
[صٓ: 5]
﴿أجعل الآلهة إلها واحدا إن هذا لشيء عجاب﴾ [صٓ: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni vipi atawafanya waungu wengi kuwa ni mungu mmoja? Hili alilolileta na akalingania kwalo ni jambo la ajabu |