Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 46 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِنَّآ أَخۡلَصۡنَٰهُم بِخَالِصَةٖ ذِكۡرَى ٱلدَّارِ ﴾
[صٓ: 46]
﴿إنا أخلصناهم بخالصة ذكرى الدار﴾ [صٓ: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tumewahusisha wao kwa jambo kubwa ambalo ni mahsusi kwao, kwa kuwa tumejaalia ukumbusho wa Nyumba ya Akhera uko ndani ya nyoyo zao, na kwa hivyo wakaifanyia kazi kwa kututii sisi na wakawalingania watu kwenye jambo hilo na kuwakumbusha |