Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 47 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَإِنَّهُمۡ عِندَنَا لَمِنَ ٱلۡمُصۡطَفَيۡنَ ٱلۡأَخۡيَارِ ﴾
[صٓ: 47]
﴿وإنهم عندنا لمن المصطفين الأخيار﴾ [صٓ: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, wao kwetu sisi ni miongoni mwa wale tuliowachagua ili watutii na tuliowateua kubeba ujumbe wetu |