Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 7 - صٓ - Page - Juz 23
﴿مَا سَمِعۡنَا بِهَٰذَا فِي ٱلۡمِلَّةِ ٱلۡأٓخِرَةِ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا ٱخۡتِلَٰقٌ ﴾
[صٓ: 7]
﴿ما سمعنا بهذا في الملة الآخرة إن هذا إلا اختلاق﴾ [صٓ: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hatujasikia hili analolingania katika dini ya baba zetu wa Kikureshi wala katika Unaswara; halikuwa hili isipokuwa ni urongo na uzushi |