Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 70 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِن يُوحَىٰٓ إِلَيَّ إِلَّآ أَنَّمَآ أَنَا۠ نَذِيرٞ مُّبِينٌ ﴾
[صٓ: 70]
﴿إن يوحى إلي إلا أنما أنا نذير مبين﴾ [صٓ: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Mwenyezi Mungu haniletei wahyi unaokusanya ujuzi wa kitu ambacho sina ujuzi nacho isipokuwa ni kwa kuwa mimi ni muonyaji wenu kutokana na adhabu Yake, ni mwenye kuwabainishia sheria Yake.» |