Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 14 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿قُلِ ٱللَّهَ أَعۡبُدُ مُخۡلِصٗا لَّهُۥ دِينِي ﴾
[الزُّمَر: 14]
﴿قل الله أعبد مخلصا له ديني﴾ [الزُّمَر: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Kwa hakika Mimi ninamuabudu Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Asiye na mshirika, nikimtakasia ibada yangu na utiifu wangu |