Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 70 - الزُّمَر - Page - Juz 24
﴿وَوُفِّيَتۡ كُلُّ نَفۡسٖ مَّا عَمِلَتۡ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِمَا يَفۡعَلُونَ ﴾
[الزُّمَر: 70]
﴿ووفيت كل نفس ما عملت وهو أعلم بما يفعلون﴾ [الزُّمَر: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo Mwenyezi Mungu Aipe kila nafsi malipo ya matendo yake, mazuri na mabaya. Na Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake na kutuka ni Kwake, Ndiye Anayejua zaidi yale waliyoyafanya duniani ya utiifu au ya uasi |