Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 118 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿لَّعَنَهُ ٱللَّهُۘ وَقَالَ لَأَتَّخِذَنَّ مِنۡ عِبَادِكَ نَصِيبٗا مَّفۡرُوضٗا ﴾
[النِّسَاء: 118]
﴿لعنه الله وقال لأتخذن من عبادك نصيبا مفروضا﴾ [النِّسَاء: 118]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Alimfukuza kwenye rehema Yake. Na Shetani Akasema, «Nitalichukua fungu maalumu la waja wako niwapoteze kimaneno na kivitendo |